Msaada kwa mwanamke huyu? Kaz au mwanaume

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa kuliko lote ninajiran yangu wa kike alikuwa na mahusiano ya muda mrefu na kijana mmoja wa kinaijelia. Sasa imefikia ha2a za uchumba yule kijana anamwambia huyu msichana aache kaz aliyokuwa akifanya. Na ukichek huyu dada hyo kaz ndo inampa mlo na maisha na inahudumia hata nyumban kwao. Na huyu kijana wa kijana hana uweza wa kumuhudumia huyu bint sasa anauliza je anafanyeje na maisha yalivyo magumu na anampenda sana jamaa anaomba apate ushaur wenu(usimshaur amuache)
 
Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa kuliko lote ninajiran yangu wa kike alikuwa na mahusiano ya muda mrefu na kijana mmoja wa kinaijelia. Sasa imefikia ha2a za uchumba yule kijana anamwambia huyu msichana aache kaz aliyokuwa akifanya. Na ukichek huyu dada hyo kaz ndo inampa mlo na maisha na inahudumia hata nyumban kwao. Na huyu kijana wa kinaijelia hana msaada wowote anaopeleka kwake yule msichana na kipato alichonacho huyu kijana wa kinaijelia hakinamsaada wa kutosha kwa huyu msichana. Na anamwambia akiacha kaz ndo atamuoa na hataki anafanye kaz yoyote sasa yeye anaomba msaada na maisha yalivyo magumu afanyeje na anampenda huyu mwanaume-

Kinaijelia ndo nini?
 
Yaani aache kazi ili aolewe, sasa muulize huyo rafiki yako kipi bora kwake at this time kuacha kazi ili aolewe au kazi ndio ndio muhimu kwake kuna vitu vingine unaweza ukavitolea uamuzi bila hata ya kuumiza kichwa mwambie aendelee na kazi yake wanaume wapo wengi na kama ni ishu ya kuolewa ataolewa tu
 
kaka nimejarbu kumwambia hvyo hvyo ya utazan hujakosea lakin wap nikamwambia
 
kaka nimejarbu kumwambia hvyo hvyo ya utazan hujakosea lakin wap nikamwambia
Au ndio ameishalewa mapenzi ya kinaija haambiwi wala kusikia la mtu ila kwa vile umeishamwambia wee kaa pembeni mkuu
 
Hadi hapo kuna mapenzi lakini sio ya dhatim hata kidogo.... Maana mapenzi ya dhati yangekuwepo hata hilo swala lisingefika huu JF because automatically decision zingetokea bila kujadili....
 
Au ndio ameishalewa mapenzi ya kinaija haambiwi wala kusikia la mtu ila kwa vile umeishamwambia wee kaa pembeni mkuu

nitafanya hvyo ila maisha ya kwao pale yan kusema ukwel yanasikitisha kama akiacha kaz mana yeye ni nguzo moja wapo ila okay ninafata ushaur wako
 
Hadi hapo kuna mapenzi lakini sio ya dhatim hata kidogo.... Maana mapenzi ya dhati yangekuwepo hata hilo swala lisingefika huu JF because automatically decision zingetokea bila kujadili....

kwahyo nimwambie hakuna penzi au nimwambie hakuna mapenz?
 
nitafanya hvyo ila maisha ya kwao pale yan kusema ukwel yanasikitisha kama akiacha kaz mana yeye ni nguzo moja wapo ila okay ninafata ushaur wako
Maana hachelewi kusema unamuingilia katika private issue zake utashangaa siku ya siku kamfikishia jamaa yake habari then wewe ndio unaonekana ndio chanzo
 
Sasa mume mtarajiwa hawezi kumtunza alafu aache kazi ili iweje??
Mwambie anangalie kipi bora kati ya kua na ndoa wakati anakufa njaa au kuishi kwa kubangaiza au kubaki bila ndoa kwa sasa akiwa na uhakika wa kuishi!!1
Alafu namshangaa kweli huyo dada...mpaka aombe ushauri kwa kitu kama hichi sijui nimchukulie vipi!:smash:
 
Aache kazi ili iweje?? Malizia story bana. Kama waende Nigeria au kuna lingine

inawezekana ndo plan ya jamaa lakn nilikuulza huyu bnt kuhusu hlo akasema hilo jamaa hanampango wa kwenda huko nigeria
 
Sasa mume mtarajiwa hawezi kumtunza alafu aache kazi ili iweje??
Mwambie anangalie kipi bora kati ya kua na ndoa wakati anakufa njaa au kuishi kwa kubangaiza au kubaki bila ndoa kwa sasa akiwa na uhakika wa kuishi!!1
Alafu namshangaa kweli huyo dada...mpaka aombe ushauri kwa kitu kama hichi sijui nimchukulie vipi!:smash:

we lizzy tema mate chn mwenzio kajarbu kila njia ameshndwa ndo kaamua kuomba ushaur usiseme hvyo ila okay nitamfikishia ujumbe wake
 
inawezekana ndo plan ya jamaa lakn nilikuulza huyu bnt kuhusu hlo akasema hilo jamaa hanampango wa kwenda huko nigeria

Kwa jibu hili huyo Dada (utanisamehe) namuita mjinga kwa sababu kasema huyo jamaa hawezi kumtunza na yeye anasaidia familia yake kwa hiyo kazi yake sasa inakuwaje akubali kuacha kazi kisa mwanaume tena asiye na uwezo wa kumtunza.

Maamuzi mengine hayahitaji ushauri ni kitendo tu kuwa sitaacha kazi kwa ajiil yako. Na sasa anataka aache kazi halafu?? Kuna watu wengi mabwege kweli uwezo huna halafu??

Hakuna kuacha kazi hapo akomae hivyo hivyo mwanaume ndo nini bana!!!! Kazi kwanza
 
m2 wangu DANE AMSI ckufich ninamfikishia ujumbe huu hv hv yan nimekubaliana na wewe unajua nini kila m2 anataka kumshangaa familia yake inamshangaa na maamuz yake yan ilibid waniite kuniomba nimshaur mana yeye alishndwa na hv ninavyosema alikuwa ajaenda enda ofisin anasiku mbil. Kusema ukwel mm nilianza kufikiria jamaa anaweza ku2mia ki2 cha kinaijelia yan limbwata
 
Amwambie kabla hajaacha kazi amfungulie biashara ya maana kabla ya ndoa ndio aache hiyo kazi
 
Mwambie aone analoona yeye sawa maana vitu vingine hata sio vya kumshauri mtu, kwani yeye anaona kipi bora, kazi au bwana? atakachoona bora afuate hicho hicho
 
Au jamaa kaona anathamini sana kazi kuliko yeye. Mshauri asiache, but ajaribu ku-balance muda wa kazi na relaltion. This life siyo la kukaa kijiweni/mama wa nyumbani bila atleast kuwa busy hata kidogo, haipendezi. Kama kasoma, inamaana huo ndo utakuwa mwisho wa ndoto za wazazi wake kupeleka shule?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom