M Mr. madevu JF-Expert Member Mar 2, 2013 432 74 Jul 31, 2014 #1 Naomba kwa yeyote anaefahamu jinsi ya ku-unlock modem za zte k-3772-z. Nimetokea kuipenda kwani ina speed nzuri ila tatizo ni laini moja tu.
Naomba kwa yeyote anaefahamu jinsi ya ku-unlock modem za zte k-3772-z. Nimetokea kuipenda kwani ina speed nzuri ila tatizo ni laini moja tu.