Msaada kwa mdogo wangu

Mbona maelezo mengi mkuu mara baba katuacha toka wadogo, mara mdogo wangu anapenda katuni, kwanza nakushauri huyo mdogo wako ni hazina kubwa kama ana tabia za kikatuni mpelekeni Hollywood akacheze sinema hatakuwa tajiri mkubwa atawasaidia wote mtaacha kumtegemea baba mdogo
 
Polen sana lakin si ajabu kwa watoto kuwa na tabia fulani ktk makuzi yake, tabia hzo huwa hazidumu ktk maisha yao na hujitokeza ktk umri fulan wa makuz ya watoto hvo itafika muda tabia hzo zitakwisha na atapitia tabia nyngne lakn kitu cha msingi ni kumuasa asiendekeze tabia kadhaa ambazo ni risk kwake.
 
Back
Top Bottom