MSAADA KWA HII LAPTOP(Folder zinajicreate zenyewe)

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
Wadau naombeni msaada laptop yangu inajitengeneza folder yenyewe!! inajirename jina la ajabuajabu kama hivi "0d975b542127f3ca0ed43f4447af" ukiyadelete yanakuja maneno haya "You need permission to perform this action. You are require permission from SYSTEM to make changes to this folder." na ukiyaforce kuyafuta yanajiweka vialama za vikofuli. Ukiyafungua pia yanakuja maneno haya "You need permission to access this folder" ...... Laptop yangu ni HP 2GB Ram, 232hard disk. window7 protected with Avast Antivirus.
Mwenye idea plzz.
 
Hizo folders zinatengenezwa wapi? kama zinakuwa created katika system folders wala zisikupe tabu achana nazo zitakuwa zinatuwa na program muhimu sana ukilazimisha ukafuta unaweza haribu kila kitu. Tumia Unlocker kufuta folder na files ambazo zinaking'ang'anizi UNLOCKER 1.9.1 BY CEDRICK 'NITCH' COLLOMB

Thnx mkuu, zinajitengeneza nje ya system folder ila ndani ya partition yenye system, ukiziacha zinajiongeza. zilikua kama tatu hivi naona sahivi zipo kama sita.
 
hizo ni hiden files hazina tatizo lolote kama utataka zisionekane ingia kwenye folder option na uchague dont show hiden folders...
 
hizo ni hiden files hazina tatizo lolote kama utataka zisionekane ingia kwenye folder option na uchague dont show hiden folders...

Ngoja nifanye hivyo,kwani inasababishwa na nn?
 
hizo ni hiden files hazina tatizo lolote kama utataka zisionekane ingia kwenye folder option na uchague dont show hiden folders...

Ngoja nifanye hivyo,kwani inasababishwa na nn?
 
hiyo isikupe shida mkuu, wala si virus...ni files za updates za programs mbalimbali au important files zilizotumika wakati wa installations wa program mbalimbali...actually si mara zote huwa zinakuwa na madhara ukizifuta but sometimes zinaweza leta shida ukifuta kwani unaweza kuta kuna program ambazo bado zinategemea baadhi ya files zilizopo humo ili zifanye kazi..
sasa kama utahitaji ku delete bila kutumia software yoyote fanya hivi:
- select hili folder kisha right click,
- properties,
- click security tab,
- advanced,
- kisha click owner tab,
- click edit,
- the chagua user account yako (yenye administrator permissions kama unazo zaidi ya moja, kama unayo moja maranyingi hiyo hiyo ndo ina kuwa ni kama administrator account).
- ukisha select user account click apply then ok, ok hadi mwisho..then delete sasa...!!
 
Asante mkuu! nimefanikiwa kuyafuta, pia shukrani kw kunijulisha inasababishwa na nn mana nlikua naumia kichwa.
 
hebu andka folder path ambapo hayo madude yanakojitengeneza eg: c:/windows/blahblah..... kisha nikupe solution
 
Back
Top Bottom