msaada kwa anayejuwa

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Na2mia blackberry bold 9700 and bundle imeisha mdaa lakini na2mia internet bure bila kulipia,hii inakuwaje?
 
kama unatumia vodacom nenda kwe ofisi zao waambie tatizo lako....watafurahi sana kwa uaminifu wako!
 
Mi mbona bb yangu 9300 cjiungi na. Bbm bundle na net nakula kama kawa ni mwendo wa light day/wiki.. Tena inaaccess line zote. Though siwezi kutumia bbm n' bb fcbk.. Kula shangwe kakaa
 
Ndugu yangu sasa hapo wewe auibi wala kudhulumu ni wenyewe tu na setting zao pengine ni offer ya kimya kimya sasa ww untaka wakate!!! Ila Dhuluma ni haramu.
 
Back
Top Bottom