Kwa mwendo huu wa vifurushi lazima introverts waumie sana mifukoni

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Intros wengi wanaspend so much time on their phones meaning that internet ndio rafiki yao most of the time.

Sasa kwa mwendo huu wa bundles zinavyoyeyuka jamaa lazima watakuwa wanatumia pesa ndefu kama vile tu ndugu yangu Extrovert akiwa anajizungushia maji ya dhahabu na wenzake akiwakatia kreti moja wakiwa pale kitambaa cheupe.

Kwa kasi hii ya kuyeyuka na bei kubwa ya hizi bundles inatakiwa tu uwe una gusa gusa tu mara mara moja kwenye internet tofauti na hapo utakuwa unaona meseji za 75% kila muda.

Anyway, Tuishi.
 
Tabia zao hela zao ww inakuuma nini wakitumia pesa nyingi kwenye bando. Haya ni mawazo ya mtu asie na njia ya kuingiza kipato na anakesha sebuleni kwa shemeji yake
 
Tafuta hela hakuna binadamu introvert. Introvertism ni kichaka cha kuficha umaskini, uwajibikaji na uvivu.
 
Back
Top Bottom