Msaada kwa anayefahamu website ya Chuo chochote cha kilimo kilichopo Morogoro

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,881
4,511
Naomba mtu anayefahamu website ya chuo chochote cha kilimo kilichopo morogoro kwa ngaz ya cheti anisaidie.
 
Sijaulizia mkuu maana huyu dogo ana four ya 35 hivyo government hawawez kumchukua
Ulivyo kata tamaa mapema, mhhhhh.
Any way ungejaribu kuwacheki ili uwasikie wenyewe, zaidi ya hapo chuo cha kilimo ninacho kifahamu na kiko poa ni cha UYOLE-MBEYA.
 
Ulivyo kata tamaa mapema,
mhhhhh.
Any way ungejaribu kuwacheki ili uwasikie wenyewe, zaidi ya hapo chuo
cha kilimo ninacho kifahamu na kiko poa ni cha UYOLE-MBEYA.

Ok,naomba kama una website yao unisaidie mkuu
 
jaman mnisaidie jinsi ya kujiunga na vyuo vya kilimo kama mati mtwara na mati ukiriguru kwani nia4 point 26 mwaka 2012 c ya phy na chem but masomo yote yanayobaki d
 
Jamani habari asubuhi wote?Ndugu zangu naomba kama kuna mtu anafahamu kuwa nafasi za kujiunga na chuo wizara ya kilimo na mifugo anijuze tafadhali sana nisaidieni kwa hlo jaman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom