blacktanzanite
Member
- Aug 19, 2011
- 53
- 4
Mimi muuguzi ngoja profesional Doctors waje...
ok nahitaji uje kwangu kwa uchunguzi zaidi
8
Mimi muuguzi ngoja profesional Doctors waje...
huwa inasababishwa na minyoo ya aina fulani jina nimelisahau ambao hutaga mayai eneo hilo na hivyo mayai hayo husababisha muwasho....kuna dawa fulani ya kupaka inaitwa preparation ni ya tube itafute uwe unapaka na vilevile unywe dawa ya minyoo
asante sana kwa infoHata mm nimesumbuliwa sna,Nimetumia dawa zaminyoo bila mafanikio,Baada ya kwenda CENTALIA CLINIC,niliambia Vidonda vya tumbo ndivyo vinavyo sababisha,Nikapewa dawa mpaka sasa cjasumbuliwa tena.hiyo hospitari ipo Ntaki bovu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kama inatekenya, au kama unahisi kuna vitu vinatembea ujue minyoo....., Sorry, kama tigo iliwahi tumika nayo inaweza kuwa sababu...... Wazo zuri ni kwenda hospital
Bt kuna dawa zinaweza kukusaidia embu nicheck kwa hz no 0768359292 na 0652359291
Habari wakuu,
Kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa baada ya kujisaidia, nini tatizo na tiba yake?
Natanguliza shukraan
Mkuu hiyo ni minyoo sugu hata mimi imewahi kunisumbua sana achana na matapeli nenda kwa wamasai kuna dawa waambie unataka dawa ya kuharisha ila wasikupe ya poda kuna ya miti hiyo miti utaichemsha na kinywa glasi moja ndani ya dakika kumi utaharisha minyoo nusu kikombe cha chai bei zao ni elfu tatu tu.kama unakaa tabata nitafute nikupereke pale buguruni karibu na ofisi za tigo kwa huyo apienipa dawa.
hospitali mkuu. nadhani unywe dawa zozote za minyoo ziwe za asili/miti shamba au dukani. pia olivera yaweza saidia...chukuwa majani yake chemsha kunywa, ule ukali minyoo yote kufa
Habari wakuu,
Kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa baada ya kujisaidia, nini tatizo na tiba yake?
Natanguliza shukraan