Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

Fuata huu ushauri manake hautakudhuru kitu. Nenda dukani sasa hivi kama hujanywa chai. Nunua dawa ya minyoo broad spectrum (yaani inayoua minyoo yote) afu utumie. Usile kitu for 1 hour. Jizoeze kunywa dawa ya minyoo kila miezi 6. Haiambukizwi, ni hayo makachumbari ya kwenye vyepe.
Kama bado nenda dispensary ya chuo,soi umekatwa hela ya matibabu?

poa dadaangu, ntajitahd kwe kesho asubuh nipate vidonge kabla cjatia kitu kwa 2mbo.
 
Possibly ni minyooo...tabia ya minyoo ikishazidi tumboni huwa inaenda kutaga mayai kwenye anus(******) na hilo linapotokea ndipo unapojisikia kuwashwa mkunduni...kwa jinsi hii unapojikuna ukijisahau usinawe vizuri mikono yako ukiulamba huo mkono uliojikuna nao unakuwa umekula mayai ya minyoo hivyo inarudi tena tumboni ambako inajitotoa na kuzidi kuongezeka. Nakushauri upate dawa ya minyoo mapema sana..na ukujikuna huko mkunduni hakikisha mikono unanawa vizuri kabla ya kula.

Pole sana mkuu.
 
Ukienda nunua dawa za minyoo (common worn) kwenye phamacy unaweza kutatua hilo tatizo ila ni vizuri ukapime hospital kama unamuda
 
Kama umebadilisha sabuni tofauti na hiyo unayotumia au Kama unakawaida ya kujisaidia na kujifuta na tissue bila Maji .
 
one of annoying diseases, huwa inatokea ila watu huwa hawapendi kusema tu kwasababu sehemu huu ugonjwa unapotokea huwa ni mbaya sana ksema mbele za watu. cha msingi tafuta dawa za kawaida tu za kupakaa utapona. mara nyingi husababishwa na unywaji wa pombe wa kupitiliza
 
Possibly ni minyooo...tabia ya minyoo ikishazidi tumboni huwa inaenda kutaga mayai kwenye anus(******) na hilo linapotokea ndipo unapojisikia kuwashwa mkunduni...kwa jinsi hii unapojikuna ukijisahau usinawe vizuri mikono yako ukiulamba huo mkono uliojikuna nao unakuwa umekula mayai ya minyoo hivyo inarudi tena tumboni ambako inajitotoa na kuzidi kuongezeka. Nakushauri upate dawa ya minyoo mapema sana..na ukujikuna huko mkunduni hakikisha mikono unanawa vizuri kabla ya kula.

Pole sana mkuu.

hawa ni Pin worm ndo wana tabia hii hivo jaribu dawa kama walivyo suggest wengine na kama ungekuwa na mtu unashare nae kitanda ingebidi umtibu pia make huwa inahama esp usiku unapolala. All the best ktk matibabu
 
Thank you mjumbe.
 
kuna ugonjwa unaitwa hemorroids aau bawasili, ule wa kuota nyama kny ******.. Pia huanza kwa style io ya kuwashwa.. So fatilia mapema mzee
 
Possibly ni minyooo...tabia ya minyoo ikishazidi tumboni huwa inaenda kutaga mayai kwenye anus(******) na hilo linapotokea ndipo unapojisikia kuwashwa mkunduni...kwa jinsi hii unapojikuna ukijisahau usinawe vizuri mikono yako ukiulamba huo mkono uliojikuna nao unakuwa umekula mayai ya minyoo hivyo inarudi tena tumboni ambako inajitotoa na kuzidi kuongezeka. Nakushauri upate dawa ya minyoo mapema sana..na ukujikuna huko mkunduni hakikisha mikono unanawa vizuri kabla ya kula.

Pole sana mkuu.

Nasapot hili
 
nshakwambia acha kula kitimoto na pilipili nyiingi.huwa ina tabia ya kwenda kuwashia huko,usipoangalia utaliwa kithoda bila kupenda
 
mficha maradhi kifo umuumbua, ndugu madaktari wa humu ndani, nini husababisha muwasho au ni maambukizi ya nini na nini tiba ya mtu kuwa anawashwa sehemu ya haja kubwa! ni tatizo limeanza kama wiki sasa, nilikuwa manyara about one week ago ndipo tatizo lilipoanza, nikahisi labda ni maji niliyotumia ya kule kuoga na kujisafisha ndio yamepeleea hili tatizo nikahisi labda muwasho utaisha tuu, lakini tatizo naona limezidi sana sana nikitoka haja kubwa! nishaurini ndugu zangu madaktari nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom