tengeneza cross over network cable,then install network and sharing baada ya hapo utaweza share internet nk
1.hakikisha computer zako zote zina connection(internet is more preffered) kwenye computer zako zote
2.install software ya tiemviewer kwenye computer zote(ni freeware software)--kumbuka kuchagua,for personal use(non-commercial)
3.kwa kutumia hizo generated passcodes you can access your computer from anywhere,,,,,,penye internet connection..
natumaini itakusaidia,,,,,,kama uta-experience shida,,,comment humuhumu kwenye hii thread nitajaribu kukusaidia zaidi
tengeneza cross over network cable,then install network and sharing baada ya hapo utaweza share internet nk
umeniacha hapo boss, ntaitengenezajehiyo cross over network cable
umeniacha hapo boss, ntaitengenezajehiyo cross over network cable
team viewer tayali nshainstall sasa nna modem moja ntatumiaje net kwenye hii nyingne?1.hakikisha computer zako zote zina connection(internet is more preffered) kwenye computer zako zote
2.install software ya tiemviewer kwenye computer zote(ni freeware software)--kumbuka kuchagua,for personal use(non-commercial)
3.kwa kutumia hizo generated passcodes you can access your computer from anywhere,,,,,,penye internet connection..
natumaini itakusaidia,,,,,,kama uta-experience shida,,,comment humuhumu kwenye hii thread nitajaribu kukusaidia zaidi
hapo kiboko yaani hicho kimodem cha e173 hakitaweza, mpaka upate link katika LANteam viewer tayali nshainstall sasa nna modem moja ntatumiaje net kwenye hii nyingne?
nashukuru kwa msaada ndugu yangu
Kwa jinsi ulivyoomba msaada team viewer hauihitaji kaka.Team viewer inatumika computer zikiwa haziko sehemu moja na ni over the internet na kila computer inapata internet from a different source.team viewer tayali nshainstall sasa nna modem moja ntatumiaje net kwenye hii nyingne?
nashukuru kwa msaada ndugu yangu