MSAADA: Kurudisha simu yangu iliyoibwa

Oct 10, 2022
25
22
Habari zenu,

Wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu aina ya Vivo. Nimefata procedures zote polisi lakini danadana zimekuwa nyingi mpaka leo hii pia nimejaribu kwa kampuni husika nao vilevile.

So nimekuja hapa kuomba msaada wenu kwa anaeweza kunisaidia kuipata simu yangu ama kunipa mbinu zengine itakuwa vizuri pia. Nina documents zote kuhusu simu iliyoibiwa.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom