msaada kurudisha data kwenye formatted HDD

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
nime-format hard disk ya laptop (40gb) yangu na nilisahau picha na documents muhimu sana. Nawezaje kuvirudisha? Sijaweka kitu kingine ktk hiyo hdd. Saidia ndugu.
 
Sio rahisi kuokoa, ila jaribu recovery software. Usiinstall kwenye hiyo hd install hd nyingine kisha scan hiyo uliyoformat. Kuna threads humu ziliongelea software zenyewe.
 
Kama bado hujajaza data nyingine kwenye hiyo harddisk fanya recovery... ntarecomment utumie software ya EaseUS recovery... I google utaipata hata trial version yake inapiga fresh kwa one time use sio mbaya...
 
Njia rahisi ni kuifanya hiyo har disk external na kuistall easy recover software kwenye PC nyingine.Iwapo utaweka windows tena kwenye hiyo harddisk inaweza isikurudishie data zako tena.
Easy recover inafaa sana
 
nime-format hard disk ya laptop (40gb) yangu na nilisahau picha na documents muhimu sana. Nawezaje kuvirudisha? Sijaweka kitu kingine ktk hiyo hdd. Saidia ndugu.

4ogb unaweza kurecover, ila haina hakika km vyote vitarudi...
jaribu kutumia Recuver software naiaminia
 
Thanks so much c6, but where can i get this software? help me please.
 
nawashukuru sana wakuu, ila i wonder where can i get the software here in dar,or rather can i download one? keep on helping, thank you so much.
 
Njia rahisi ni kuifanya hiyo har disk external na kuistall easy recover software kwenye PC nyingine.Iwapo utaweka windows tena kwenye hiyo harddisk inaweza isikurudishie data zako tena.
Easy recover inafaa sana

Dah! Natia huruma sana, nimeformat xternal hdd yangu iliyokuwa na data kibao waungwana ila nimeweka vitu kidogo. Naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa kufanya recovery na kupata data zangu za mwanzo. Natanguliza shukrani wakuu
 
HIYO UNAWEZA KURECOVERY YOTE.ntakuwepo Dar next week kama upo Dar just PM me ntakupa Easy recover CD na maelekezo ya jinsi ya kufanya au tutafanya wote.pole sana
 
Back
Top Bottom