Msaada; Kupata soft copy ya kitambulisho nida

Omy2000

Member
Aug 24, 2020
43
29
Habarini za majukumu wakuu..ninayo namba ya NIDA lakini sijafanikiwa kupata kitambulisho hadi sasa..naomba kwa mwenye ujuzi wakupata soft copy anisaidiea
 
Habarini za majukumu wakuu..ninayo namba ya NIDA lakini sijafanikiwa kupata kitambulisho hadi sasa..naomba kwa mwenye ujuzi wakupata soft copy anisaidiea
Kama ni kufanya application ya polisi weka namba tu ambatanisha
 
Ukiwa na connection au mkono mrefu hardcopy unapata chap tu, kuna mdiaspora mwezi huu alikuja Tz kapata kitambulisho chake fresh kabisa
 
Back
Top Bottom