Msaada kuhusu version mpya ya whatsapp

shangwe1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
445
348
Wakuu nimedownload version mpya ya whatsapp lakini nashindwa kuitumia hasa hapa kwenye stutas yaani sielewi kabisa mwenye kujua hii version mpya ya whatsapp anisaidie jamani msaada jamani
 
Mambo ya zile status zenu za mipasho hamna siku hizi....status ya picha au video ambayo unaweza kuweka text pia na inakaa kwa masaa 24 tu
 
Wakuu nimedownload version mpya ya whatsapp lakini nashindwa kuitumia hasa hapa kwenye stutas yaani sielewi kabisa mwenye kujua hii version mpya ya whatsapp anisaidie jamani msaada jamani
Sidhani kama ni kweli hayo uyasemayo nahisi umeamua tu kutujuza nini kimetokea(new update)
Anyway ukienda hio option ya status umepewa uhuru wa kuweka video photoau hata Gift na pia inakua valid kwa masaa 24 ndipo uweze badili na hapo unatku unatembelea kuona ni watu walioitizama hiyo status.
Kama kuna kitu nilichokosea au kusahau nirekebishwe
 
kumbe mambo yamebadikika mm na video call nikawa najina nipo update kumbe kuna walio mbele yangu ngoja nikachek update hio ya kuweka mavideo video na mapicha mapicha kwenye stustas
 
Sidhani kama ni kweli hayo uyasemayo nahisi umeamua tu kutujuza nini kimetokea(new update)
Anyway ukienda hio option ya status umepewa uhuru wa kuweka video photoau hata Gift na pia inakua valid kwa masaa 24 ndipo uweze badili na hapo unatku unatembelea kuona ni watu walioitizama hiyo status.
Kama kuna kitu nilichokosea au kusahau nirekebishwe
Dah mkuu mm lengo langu sio hilo mm nilikuwa naomba kama kunajia ambyo nitaitumia kurudisha wasap yang ya zaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom