Pitia kitabu hicho View attachment UFUGAJI BORA WA NGURUWE.pdfWadau wa JF naomba mwenye uelewa kuhusiana na swala la ufugaji wa guruwe anipe ABC.
Namba ya kuanza na changamoto zake na tiba zake kwa sasa afikiria kuanzisha hiyo programu.
Karibuni kwa ushauri