Msaada kuhusu ufungaji wa Nguruwe

shashula

Member
Feb 21, 2022
65
26
Wadau wa JF naomba mwenye uelewa kuhusiana na swala la ufugaji wa guruwe anipe ABC.

Namba ya kuanza na changamoto zake na tiba zake kwa sasa afikiria kuanzisha hiyo programu.

Karibuni kwa ushauri
 
Una taka kuanzishia wapi?

Kwenye eneo la ukubwa gani?

Una taka kuanza na nguruwe wangapi?

Una taka kuanza na nguruwe watoto au wakubwa?

Masoko umeyatasmini vipi kabla ya kuanzisha hii biashara?

Una mpango gani wa muda mfupi na muda mrefu ktk hii biashara?

Nk...!
 
Eneo n mkoa wa simiyu
Ukubwa wa eneo n 20mta upana na urefu n 30mita
Nategemea kuanza na guruwe wakubwa
Idadi nataji kuanza na 10
Nahitaji kufuga kwa mda wa miaka 5 baada ya hapo naendelea na mambo mengine

Swala la soko kiujumla sijatafiti sana japo
Karibu
 
Back
Top Bottom