Msaada kuhusu uandishi wa vitabu Tanzania

Georeez

Member
Sep 9, 2011
20
1
Wana JF Education forum nilikuwa naomba anayejua sheria na taratibu za kufuata ili kuruhusiwa kuandika vitabu vvya masomo mbalimbali kwa level yoyote ya elimu tanzania isipokuwa UNIVERSITY LEVEL BOOKS.....!!Msaada pliiz kwa mwenye idea..!!
 
Yeyote mwenye kujua biashara ya kuandika kuchapisha na kusambaza vitabu. Tafadhali naomba msaada. Na mimi Baada ya kufanya kazi miaka 15 sasa naona nahitaji kuandika kitabu ili niweze kushare ujuzi wangu kwa watanzania wengine.
 
Wana JF Education forum nilikuwa naomba anayejua sheria na taratibu za kufuata ili kuruhusiwa kuandika vitabu vvya masomo mbalimbali kwa level yoyote ya elimu tanzania isipokuwa UNIVERSITY LEVEL BOOKS.....!!Msaada pliiz kwa mwenye idea..!!
je, umeshafanikiwa katika jambo lako hili?
 
Back
Top Bottom