J Joseph Muhanyi New Member Aug 2, 2022 1 1 Jan 9, 2023 #1 Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada