Kwanza kuhusu ku Root Download app inayo itwa Z4 Root hii ita root simu yako kwa click chache tu.
BAADA YA KUDOWNLOAD Z4 ROOT, IFUNGUE NA BOFYA SEHEMU YA ROOT KISHA REBOOT SIMU YAKO. ikiwaka angalia app list kama ukiona kuna app imeongezeka inayoitwa SUPER USER hapo tayari utakua ume root simu yako.
Sasa tukija kuhusu kubadilisha ROM kuna njia mbili
1. Kwa kutumia computer
2. kwa kutumia simu pekee.
Binafsi nafahamu njia ya simu pekee.
Root simu yako then leta feedback tuendelee na darasa.
Nimejaribu kujua kuhusu hivyo vitu sijapata jibu sahihi google. Kwa ajuaye anielekeze coz nataka ku upgrade manually my android phone to icecream sandwich...
Wabeja