Msaada Kuhusu Nokia 5130 (Express Music)

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Heshima Kwenu.

Wakuu kama Miezi Sita iliyopita Nilinunua Nokia 5130 na nimeitumia Vizuri sana hadi kama wiki mbili zilizopita ilipoanza kunisumbua, Ina tatizo la kuzima na kujiwasha yenyewe kila baada ya dakika 7 au kumi. Nilidhani ni Viruse na kuamua kuipeleka nika-iflash na baada ya kuiflash bado tatizo lipo pale pale, Pia nilipojaribu kuangalia imei nimeshangaa kukuta haijakamilika,imeandika hivi (12345610654321?).

Je tatizo hili linatatulika au ndo simu tayari imekufa niitupe? Naomba Msaada wenu Wakuu.
 
pole mkuu hapo mpaka utumie kitu inaitwa rpl mpaka ununue ni kazi kdogo na nigarama kiasi
 
Asante mkuu, Je hicho kitu kinapatikana wapi na gharama zake zikoje? Je kama ni software inaweza kutumika kwenye kutengeneza simu nyingine. Thankx mkuu, Ubarikiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom