msaada kuhusu degree ya statistics ya EASTC

flyn rider

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
456
77
wanaojua naomba mnijuze kuhusu hii degree ya official statistics inayotolewa pale EASTERN AFRICA STATISTICAL TRAINING CENTRE,soko lake la ajira na mengineyo mnayoyafahamu,
 
hili swali ulibidi uulize kabla hujachagua hii kozi!!! hata kama haina soko na ushaguliwa kwa sasa haitasaidia...
kwa kifupi ni kozi nzuri na inahitaji ujuzi wa mathematics na sio bam namaanisha PURE MATHEMATICS.
 
hicho chuo nimepata data zake ni bingwa kwa statistics hapa africa mashariki na kati,hata bachelor yao curriculum yao imeshiba kuliko za vyuo vyote hapa tz,.tembelea tovuti yao utathibitisha,.
 
nashukuru kaka,
 
yaah nimekuamini GT,yaani wapo poa sana,nimeambia mastatistician wengi wamesoma hapo.
 
Back
Top Bottom