Msaada kuhusu "Admission Status" ya NACTE

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Msaada jamani kwenye status yangu iko hivyo maana yake mimi nimetemwa au ndo nitapata?

Screenshot_2016-09-07-06-32-47.png

Screenshot_2016-09-07-06-32-24.png

Screenshot_2016-09-07-06-33-07.png
 
apo subiria next selection, bado kunauwezekano mkubwa wa kuchaguliwa
 
acha hivyo hivyo usifanye kitu chochote kwenye profile na wala usi-reset choice,log out tu uondoke
 
acha hivyo hivyo usifanye kitu chochote kwenye profile na wala usi-reset choice,log out tu uondoke
Hii ni second selection au? Nasema hivyo maana kwenye profile yangu wamenitumia hivi!
Dear............................
Kindly be informed that, you have been selected to one of your choice(s).
Your selection will be final after verification and confirmation from the institution you have been selected to.
You will be notified of your selection in your profile after confirmation from the institution.
You are therefore advised to stay calm and be patient while this process is taking place.

Huyu mbona ana vitu tofauti na ya kwangu!
 
kwa huyo jamaa ni second selection ila kwako CHUAKACHARA umechaguliwa ila subiria verification confrimation kutoka chuo husika watakacho kuchukua
 
kwa kifupi ni asante kwa kushiriki na ile elfu 20 yako tuonane msimu ujao.
 
hapo uwakika subilia selection ungekua hauja meet vigezo lazima wangekwambia ubadilishe machaguo
lakini hapo wamekwambia usifanye chochote
 
Back
Top Bottom