Msaada: Kuchakachua modem ya vodafone

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
Tafadhalini wanaJF, nisaidieni kuchakachua modem ya vodafone:
IMEI:359592035473902
MODEL: K3570-2

NATANGULIZA SHUKURANI
 
Modem hii inatengenezwa na ZTE na kimsingi ili kuweza kuitumia kwa mitandao mingine ni kuifanyia debranding yani kubadilisha kabisa dashboard iliyopo ya vodaphone na kuweka nyingine, ili kuweza kuweka dashboard nyingine, tumia QPST ili uweze kusoma na kuandika modem yako kisha uweke ISO ya tofauti,
viti unavyotakiwa kuwa navyo ni
QPST APPLICATION
ZTE.ISO

Unatakiwa kuwa na kaujanja ka computer kidogo ili kuweza kufanya hii mambo, kwa msaada zaidi unaweza kuni PM
 
fungua blog.extremetecharena.com/guides/do-it-yourself/debranding-vodafone-k3570z-usb-modem/
utaona hzi files download instal zote then unstall software ya voda .ZTE Drivers, ZTE Connection manager
 
Back
Top Bottom