Kuweka custom domain..lazima uwe na domain ulionunua toka kwenye host platform kama Godaddy..kisha watakupa Mfano wa Api keys ambao ndio unauweka pale kwenye
Hivi kwanza unaweza lipwa pesa kwa kutumia blogger for free kupitia Google ads?Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
Kuweka custom domain..lazima uwe na domain ulionunua toka kwenye host platform kama Godaddy..kisha watakupa Mfano wa Api keys ambao ndio unauweka pale kwenye
Sina uhakika ila kuna web moja nimelipia yenyewe in official registration na hosting ila hi nataka iwe free Kwanza. Iliyo active n www.goldensitetz.comHivi kwanza unaweza lipwa pesa kwa kutumia blogger for free kupitia Google ads?
Aisee apo itabidi uangalie youtube au stackoverflowNemehost kwa infinity free host site yangu ni: uchilesecondryschool.great-site.net Sasa kuicustom bloger ndo napata changamoto