talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,188
- 759
Habari wadau.
Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya mwaka nikaanza kulipia domain name na hosting ambayo kwa website 3 si haba.
Nimefikiria kununua package ya reseller au vyovyote ili niweze kuwa na host na kulipia domain mwenyewe.
Naomba msaada wenu wa mawazo wa namna bora ya kufanya hili. Shida ni pale napotakiwa kulipia kwa hawa watu ghafla na pesa haipo na kulazimika website zangu kushushwa.
Ahsanteni.