msaada ku unlock memory card

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
nina memory card nimesave vitu muhimu vingi sana imejilock na password sina kwani nilinunua kwa mtu ikiwa na password na mi sizijui kwa kabla ilikuwa nikiweka kwenye simu ilikuwa inafanya kazi lakini iliandika MEMORY CARD LOCKED mpaka leo nimeshindwa nikiweka inasema niingize password na nilipojaribu mwenye simu ni likuta email addresr ya Phonce-mayani Naomba msaada wenu ndugu nifanye nini au mwenye kumjua huyu mwenye hii Email address anisaidie au kama yupo anisaidie aina ya simu Ni Nokia 6300 kama upo ni pm
 
Back
Top Bottom