Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna changes kidogo. Njia yenyewe ni hii hapa:
TAFADHALI SOMA POST YOTE NA UELEWE KABLA HUJAANZA PROCESS NA KUWA MAKINI SANA KWANI UKIKOSEA KIDOGO TU UNAWEZA UWA MODEM YAKO.
Download na Extract File nililoambatanisha na post hii. Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimaliza usiifungue.
Then Chomeka modem yako, weka line ambayo haikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit hiyo dashboard hakikisha unaifunga kabisa.
Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake
Sasa search ile software ulio install QPST na fungua QPST configuration
Start Menu > Programs> QPST
Then click add new port, ile ulio iiangalia katika device manager
Uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.
Kama umechagua port sahihi then lazima utona imeandikwa hivi
Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download
Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.
Sasa connect Computer yako Internet kwa kutumia simu au modem ambayo sio Huawei, hata kwa njia nyingine kama ipo.
Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet au modem yako haijaunganishwa vizuri au modem inatumika na sehemu nyingine.
Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
Uncheck 05.bin kama hivi
Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" , Subiri kidogo then kuna kibox kitatokea just click OK, Baada ya modem kuingia katika Download mode (yani subiri km sekunde 10 hivi ndo U click OK otherwise Itakupa msg yakuwa ime FAIL).
Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwa katika modem yako
Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyo ni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo then itakuwa imemaliza, close hiyo Huawei Modem Flasher
Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaona haina uwezo wa kukamata tena network kwa sababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore. Kufanya restore Rudia zile step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration then add com port, Halafu tunaenda software download, lakini badala ya ku click backup tab, click restore tab.
Then click browse na chagua backup file tulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha i restore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza.
Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako. Kama utakuwa umefuata step zote kwa umakini modem yako E173 itakuwa Permanently Unlocked na unaweza tumia mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEI imerudi ile ile kama mwanzo.
Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kama utapata shida yoyote ile sema.
Note:
Njia ni salama kabisa nimesha unlock modem zaidi ya tatu na zinapiga mzigo kama kawaida. Kumbuka kuwa makini kwani unaweza uwa modem yako moja kwa moja.
Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself.
mkuu me naomba unisaidie codes za alcatel modem, specification is X230e 05 245
X230-2LATTE3
imei 867612003912544

kaka G thanx kwa hii method kwa kweli ni nzuri.., shida yangu ni kwenye huawei flasher..kila nikifungua ile exe inaniambia "can connect to server byebye",sasa inabidi nichomeke modem mbili ikiwemo ya kuunlokiwa na nyingine ili flasher irun au nifanyeje maana kila kitu kimeenda poa shida ni kwenye flasher tu,.,plz help kaka G..Finally Huawei E173 za Airtel zinaweza kuwa unlocked, Njia ni kama ya E153 Aliyoweka e2themiza sema kuna changes kidogo. Njia yenyewe ni hii hapa:
TAFADHALI SOMA POST YOTE NA UELEWE KABLA HUJAANZA PROCESS NA
KUWA MAKINI SANA KWANI UKIKOSEA KIDOGO TU UNAWEZA UWA MODEM YAKO.
Download na Extract File nililoambatanisha na post hii. Anza ku install QPST.2.7.378. Ikimaliza usiifungue.
Then Chomeka modem yako, weka line ambayo haikubaliki ktk hiyo modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit hiyo dashboard hakikisha unaifunga kabisa.
Sasa nenda Device Manager> Ports locate modem yako kisha soma COM port yake
Sasa search ile software ulio install QPST na fungua QPST configuration
Start Menu > Programs> QPST
Then click add new port, ile ulio iiangalia katika device manager
Uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.
Kama umechagua port sahihi then lazima utona imeandikwa hivi
Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download
Sasa uhai wa modem yako unategemea hii stage tafadhali kuwa makini sana. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup. Kumbuka kuhakikisha imemaliza salama na Backup yako (.qcn) ipo ktk location uliyochagua kabla ya kuendelea na stage zinazofuata. Kufikia hapa awamu ya kwanza itakuwa imeisha, Chakufanya ifunge kabisa QPST kabla ya kuendelea.
Sasa connect Computer yako Internet kwa kutumia simu au modem ambayo sio Huawei, hata kwa njia nyingine kama ipo.
Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL ujue una tatizo katika Internet au modem yako haijaunganishwa vizuri au modem inatumika na sehemu nyingine.
Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
Uncheck 05.bin kama hivi
Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" , Subiri kidogo then kuna kibox kitatokea just click OK, Baada ya modem kuingia katika Download mode (yani subiri km sekunde 10 hivi ndo U click OK otherwise Itakupa msg yakuwa ime FAIL).
Sasa subiria wakati firmware mpya ikiwekwa katika modem yako
Kumbuka lazima utapata error katika 07.bin, Hiyo ni kawaida wala usiogope. Subiri kidogo then itakuwa imemaliza, close hiyo Huawei Modem Flasher
Sasa chomoa na chomeka modem yako. Utaona haina uwezo wa kukamata tena network kwa sababu imepoteza IMEI so inabidi tufanye restore. Kufanya restore Rudia zile step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration then add com port, Halafu tunaenda software download, lakini badala ya ku click backup tab, click restore tab.
Then click browse na chagua backup file tulilotengeneza mwanzo. Then click Start na acha i restore, Baada ya muda mfupi itakuwa imemaliza.
Ikimaliza unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako. Kama utakuwa umefuata step zote kwa umakini modem yako E173 itakuwa Permanently Unlocked na unaweza tumia mtandao wowote sasa. Kumbuka IMEI imerudi ile ile kama mwanzo.
Ukifanikiwa usisite kutoa Feedback na pia kama utapata shida yoyote ile sema.
Note:
Njia ni salama kabisa nimesha unlock modem zaidi ya tatu na zinapiga mzigo kama kawaida. Kumbuka kuwa makini kwani unaweza uwa modem yako moja kwa moja.
Mimi sitahusika na uharibifu au tatizo lolote litakalojitokeza Just Risk Yourself.
hata mimi imenisumbua hapo ila nimekuja pata solution ni to download new version ya hiyo huawei flasher gonga hapa Download huawei flasher 1.6.zipkaka G thanx kwa hii method kwa kweli ni nzuri.., shida yangu ni kwenye huawei flasher..kila nikifungua ile exe inaniambia "can connect to server byebye",sasa inabidi nichomeke modem mbili ikiwemo ya kuunlokiwa na nyingine ili flasher irun au nifanyeje maana kila kitu kimeenda poa shida ni kwenye flasher tu,.,plz help kaka G..
Jaman ambaye anasoftware ya kuaunlock modem ya airtell huawei e 173 anisaidie jamani
kwa faida ya wengi, hii software QPST pia huweza kutumika ku-unlock cdma devices, nime unlock sprint mobile yangu using it