Msaada; ...kiatu changu!

Like a father like a son, Baba anapenda viatu vya aina fulani ambayo na mtoto anapenda, Huyo mbwa kiufupi hajatumwa wala nini ila mmemchanganya. Big up kwa kuwa na mtoto mnaye lingana mkuu ila watch out, msipende kutembelea maenea yanayo fanana (kama yeye anatembelea maeneo ya kusini basi wewe elekea kaskazini) lasivyo kuna mapanya mamende mapaka, kunguru nk nk..Nimeipenda hii

...dah, jibu lako lina fumbo! Anyway, acha niendelee kulitafakari mpaka nitapolifumbua.

Hili sredi la mheshimiwa mosquito linahitaji uwe na masters ndo uweze kulichangia inavyostahili.

Ngoja nimalizie dissertation then nakuja.

Ndugu yangu klorokwini amepotelea wapi?

Ngoja nivae viatu vyake kabla havijaliwa na jibwa koko.

...Aspirin, wapi klorokwini?

e bana usichelewe bana. Muda unakwenda nami bado nimetahayari hapa ugenini.
Nikijifikiria kukatiza uraiani, mimi na mwanangu sote tuna kiatu kimoja mguuni, mnh?
Tutaelewekaje?
 
Kina mama hebu muulizeni Mbu anavaa kiatu saizi gani na mwanae saizi gani,maana tukiuliza sisi kinababa noma.
Mbu unavaa kiatu saizi gani? Na mwanao je?
Kwani Mbu mwanao ana umri gani na kiatu chake ni size gani?...

...dah? size ina matter hapa kweli? Anyway madhali nimekuja kwa 'matibabu,' labda ndio ufundi na ujuzi wenu wa kutafuta viashiria. Sote twavaa size 12"...Yes, miguu kumi na mbili...

...nakushauri anza kuhangaikia kiatu chako wewe kwani hutowezapata kingine na mwanao kama ni mkubwa ahangaikie chake............................hapa nakunong'oneza tu.....angalia hilo jibwa lisijekwapua na cha Baba.................

...dah, Mwj1 umenijibu fumbo kwa fumbo, unanipukutisha nywele kichwani ujue?
soon nitafanana na 'jogoo kuchi!' kwa mawazo... :A S 39:
 
aisee hapa nimetoka mtupu,ni nini mnaongelea?:A S 39::A S 39::lying:
 
Like father like son. Inaonyesha jinsi mnavyo-share interest,anzeni kutembelea viwanja tofauti na kununua vitu visivyofanana la sivyo kuna siku MTANYAKULIANA wenyewe sijui mtafanyaje?
 
Kwa huu msamiati safi sana.
Umenikoroga kichwa mpaka Malaria imekimbia bila kutumia Kloro, Panadol wala Asprin

Ni mbwa koko kitabia lakin sio kiuwezo
Hiyo ni tahadhali, next time mnaweza kung'atwa mkapata kichaa cha mbwa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tena kwa hasira ukimpata huyo mbwa mpenda viatu (hope vilikuwa havitoi ile harufu), mpeleke kwa babu...! Kule loly! ah ah ah ah ah ah!
 
Hivi mnaongelea viatu hivi tunavyovaa miguuni au kuna kilichofichwa????
Nwy kamani viatu vya kawaida na mnavaliana basi mmoja avae vilivyobaki..
Ila ilikuaje mpaka huyo mbwa ashawishike kuchukua kimoja chako na kimoja cha mwanao???
 
cum on Michelle,...try again bana, Read slowly,...digest it!
Wewe ni mmoja ninaowategemea kwenye ufumbuzi wa hili.


kweli akili yangu imeshindwa kufumbua hili fumbo.....au labda nimechoka sana....nimesoma post zote na bado sijaelewa kabisa....nawapongeza sana wale walioelewa....:second:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi mnaongelea viatu hivi tunavyovaa miguuni au kuna kilichofichwa????
Nwy kamani viatu vya kawaida na mnavaliana basi mmoja avae vilivyobaki..
Ila ilikuaje mpaka huyo mbwa ashawishike kuchukua kimoja chako na kimoja cha mwanao???

...hapo ndipo lilipo swali Lizzy!
  • kuna aliosema nimpige mawe, ingawa tayari Mbwa keshakimbilia gizani,
  • kuna aliyesema ningemfukuza,...ningewezaje ilhali nje tulipokuwa palikuwa kiza tororo?
  • Umesema madhali tunavaliana, basi mmoja wetu avae kilichobaki.
Lizzy, Mbwa Koko katuachia viatu vyote vya mguu wa shoto!

kweli akili yangu imeshindwa kufumbua hili fumbo.....au labda nimechoka sana....nimesoma post zote na bado sijaelewa kabisa....nawapongeza sana wale walioelewa....:second:

...Yes you are! Take a break. Some fresh air will clear your mind.
Labda kesho unaweza jitahidi kunipa jibu. I know you Can (No Pressure!)
 
kwanza jiulizeni wewe na mwanao kwa nini viatu vyenu vikwapuliwe na mbwa? tena koko? as i know mbwa koko ni wazembe wanapenda vya ubwete hawapendi kutumia nguvu nguvu kupata wanachotaka. may be viatu vyenu vina harufu kali kama nimekosea nakupa mji
 
Anatomic%20Gel%20Mens%20Leather%20Shoes--%20Parati%20black.jpg

Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;

...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.

Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?
Sasa kama wote mmefanana kihivyo kwanini viatu vyenu visikwapuliwe? Hasa ugenini....! ambako mkibalishana vyumba hamtatambulika.....!
Vinginevyo, tangu lini "Mbu" kavaa viatu?
 
Kwani Mbu na watoto wao huwa wanavaa viatu.
Dah mbona hawa wa hapa hawana viatu?

Duh halafu watoto wa Mbu wakoje?
Bwana wangu naona hapa niondoke tu manake.........hiki kiatu sikielewi.
 
Mbu, hujawahi kukutana na shida weye? Kwenye shida hivyo viatu vyote vya shoto vinawezekana kuvalika. Kwa hiyo mchague, aidha wewe au mwanao avae na atoke mbio kumfuatilia mbwa koko. Ama la imeshindikana, basi na msubiri kuche mkanunue kandambili za kuwasitiri.

Angalizo: mnunue kandambili zisizoshabihiana rangi wala aina, muwe makini na nyumba mtembeleazo, hulazimiki kufuatana na mwanao kwenye kila mizunguko yako (hasa ambaye amesogea mpaka mnavaliana viatu) vinginevyo hilo koko litapitia mpaka viatu vya wenyeji wenu huko muendako mkawatia hasara mara mbili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom