Msaada; ...kiatu changu!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
Anatomic%20Gel%20Mens%20Leather%20Shoes--%20Parati%20black.jpg

Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;

...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.

Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?
 
Hahahahahah lol! miye ningelala naye mbele mpaka kieleweke! Huyo Mbwa koko katumwa kwenda kumuadhiri Mbu?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
kiatu have the sole, sole is the mhimili pale unapokivaa. Hivyo hapo ugenini, hukumuimarishia mwanao mustakbali/mhimili uliyo mzuri kufikia hadi kuharibika (mwba ni vitu vinavyoharibu mustakbali mzuri wa mwanao). Kwa vile ww ni baba, na uko responsible juu ya mwanao, anza kurekebisha ya mwanao then ndo ufanye ya kwako.
Usingizi ukiniishia nitarudi tena ila hapa namuona afrodenzi kaniwekea mguu juu, sijuwi ndo ananitega. Subiri nimuambie ageuke kwa huku....
 
...daah, this is deep maazee! safi sana.
Nitasubiria usingizi ukuishe...mimi ushaniruka na mapeema!
 
Dahhh
nway hamna mawe hapo?

...ahahhhaa hhaa!, duuuhh...kurusha mawe gizani?
Nitakuwa najitafutia kesi mpya.

Hahahahahah lol! miye ningelala naye mbele mpaka kieleweke! Huyo Mbwa koko katumwa kwenda kumuadhiri Mbu?

...LOL, mkuu umeniacha hoi kwa kicheko? ati?...tatizo kakwapua kisha katokomea nacho gizani,
Tena kachukua vya mguu wa kulia tu! Nimetahayari nikifikiria nikimfuza Gizani kuna Miba, vyupa nk

Katumwa huyu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kiatu!! Hiki hiki kiatu au....!!

...kiatu kaka, "kuna watu na viatu!" Nawe fumbua mbwa huyu kusudio lake nini.
Nimetahayari hapa nilipo, iweje sote atuchukulie kiatu kimoja na kukimbia navyo kizani?
 
Like a father like a son, Baba anapenda viatu vya aina fulani ambayo na mtoto anapenda, Huyo mbwa kiufupi hajatumwa wala nini ila mmemchanganya. Big up kwa kuwa na mtoto mnaye lingana mkuu ila watch out, msipende kutembelea maenea yanayo fanana (kama yeye anatembelea maeneo ya kusini basi wewe elekea kaskazini) lasivyo kuna mapanya mamende mapaka, kunguru nk nk..Nimeipenda hii
 
Dahhh
nway hamna mawe hapo?

Mawe ya nini? wajaribu kuvaa viatu vya rangi tofauti ikiwezekana waambizane usivae viatu vyeusi na wewe usivae vyeupefull stop! Kwa upande wa size ina weza isiwe applicable!
 
Hili sredi la mheshimiwa mosquito linahitaji uwe na masters ndo uweze kulichangia inavyostahili.

Ngoja nimalizie dissertation then nakuja.

Ndugu yangu klorokwini amepotelea wapi?

Ngoja nivae viatu vyake kabla havijaliwa na jibwa koko.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kina mama hebu muulizeni Mbu anavaa kiatu saizi gani na mwanae saizi gani,maana tukiuliza sisi kinababa noma.
 
Mbu kuna sehemu nimeona kiatu cha kwako na cha mwanao sasa sijui ndio sehemu stahiki hapo vilipo au labda vipo hapo kwa muda halafu utarudishiwa, nitafute nikuelekeze vilipo.
 
Mbu bora usijisumbue kutafuta. Unaweza ukakuta huyo mbwa koko kakimeza.
 
Mbu bora usijisumbue kutafuta. Unaweza ukakuta huyo mbwa koko kakimeza.
Ningependa kujua kiatu kilitengenezwa wapi, na kama kimefanyiwa madoido yanayomvutia mbwa koko kukimeza,
 
Kwani Mbu mwanao ana umri gani na kiatu chake ni size gani?.....nakushauri anza kuhangaikia kiatu chako wewe kwani hutowezapata kingine na mwanao kama ni mkubwa ahangaikie chake............................hapa nakunong'oneza tu.....angalia hilo jibwa lisijekwapua na cha Baba.................
 
Ahaa ahaaa ahaaa lol
 
Anatomic%20Gel%20Mens%20Leather%20Shoes--%20Parati%20black.jpg

Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;

...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.

Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?

I hope vilikua sare na huyo mbwa kaiba miguu tofauti, walau uwe na pair moja tu ya ku replace....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom