Msaada juu ya iPhone 4s yangu.

fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
11,109
19,993
Hii simu imenunuliwa nje na ilikuwa inatumika kabla ya kuletwa hapa Tanzania. Cha ajabu haikubali mitandao ya kibongo. Yaani ukiingiza line yoyote ile, iwe ya airtel, tigo au voda network haikamati kabisa. Je kiufundi inaweza ikafanya kazi au niachane nayo tu? Naomba msaada wenu wakuu
 
upo mkoa gani? hiyo itakuwa carrier locked!! unatakiwa ufanye factory unlock. tuwasiliane 0716-904626..
 
Mkuu nipo Dar. Nadhani naweza pata msaada wako. Nishaisave number yako nitakucheki.
 
asante bila money?

Aaah mkuu hatujafikia hapo bado. Pale itakaporekebishika ndipo shukrani inatoka. This's just a first step of problem identification bado solution sasa.
 
Back
Top Bottom