Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,226
- 4,730
Hio ni kwa ajili ya s40 nokia tu
Mkuu hembu na kamchina kangu nikafaidi naomba maujanja.
Hio ni kwa ajili ya s40 nokia tu
Mkuu hembu na kamchina kangu nikafaidi naomba maujanja.
Msaada wa asha 200 haitaki kabisa connect na internet nafanyaje ndugu
Mkuu nimenunua Android Samsung (touch scrn mchina) nimejbu nilipo2ma kwa bluetooth ikagoma kuipokea na kuandika "Drive not found" msaada zaid plz
Hv kwa nokia 110 internet setting
zake n vp maana voda wametuma
lakini naona bado cm haifungue
net!