Msaada jinsi ya kutumia I pad

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219
Naombeni mtaalamu anieleweshe kwanza nimeshindwa kuaccess sehemu ambayo nitaona function ya mtandao ili niweze ona salio na kuongeza hela, pia apple Id imekuwa inasumbua kulog na pia kuna option za kuregister zinasumbua zinataka ujaze visa card no or master card nimejaza zangu ila inakataa kuload na pia kuna baadhi ya sehemu Tanzania haiko ktk orodha ya nchi. Jamani hebu nisaidieni jinsi ya kuoparate hii kitu
 
Upo nchi gani?

Unatumia ISP gani?

Apple ID inafanya kazi kama debit/credit card yako imefunguliwa kutumika online..wewe unatumia ya benki gani?
 
Nippon Tanzania
hiyo ISP ndo Sijui ni nini? Natumia crdb, Barclays na stanbink
pamoja mkuu hebu Nipe darasa u
 
ISP ni Internet Service Provider. Hapo kwene Ipad kuna mini-SIM card ndio itayofanikisha kukuunganisha na www. Kama huna bado hiyo mini-SIM waone Voda / tIGO / Airtel etc etc. Kuhusu kuongeza salio itabidi uitoe hiyo mini-SIM na kuiweka kwene simu ya kawaida kisha unaingiza vocha kama kawa, halafu uta-invoke package unayoitaka ya internet ( ISP wenyewe watakupa maelekezo).

Kuhusu iTunes ID, inabidi kadi yako iwe active kutumika online. Waone watoaji wa card yako (benki) wakupe maelekezo.
 
Je, iPad yako ni ya aina gani?
Katika swala la network iPad ziko za aina mbili: 1: iPad yenye WIFI peke yake - hii huwezi kutumia sim card.
2: iPad yenye WIFI + 3G - hii unaweza ukatumia simcard.

Check yours!
 
unaweza ukatengeneza free account bila hata kutumia credit card. Fungua kwenye itunes ya pc then chagua app yoyote ambayo ni ya free ikishafunguka page inayoonyesha description ya hiyo app click sehemu iliyoandikwa free chin ya hiyo icon ya app. Kakitokea kawindo chagua create account kwenye sehemu ya payment chagua none halafu malizia kujaza hiyo fomu
 
Back
Top Bottom