Msaada; jinsi ya kujizuia na Panic pamoja na hasira.

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
wakuu; ninashemeji yangu karibu amehama nyumba za kupanga zaidi ya nne kwa muda wa mwaka mmoja lakini nilipojaribu kuuliza ni kwa nini nikagundua kila alipokuwa anahamia alikuwa anakosana na wapangaji wengine.
aidha nilifanya mahojiano nae na kwa kuanza nilimuambia kuwa tatizo shemeji yangu unahasira na kupanic na mara nyingi ukiwa katika hali hiyo huwa unafanya maamuzi ambayo baadae unayajutia.
aidha alikubali kuwa yupo katika hali hiyo na kiukweli haipendi lakini hawezi kuiepuka.

waheshimiwa naomba msaada wa jinsi ya kupunguza au kumaliza au kucontrol panic pamoja hasira
 
Back
Top Bottom