Msaada: Jinsi ya kuhack facebook account kirahisi

Status
Not open for further replies.
nadhani hakuna njia rahisi ya kuhack facebook kwakuwa wanahakikisha security ya kutosha ili kuprotect information za watu.... Nadhani you must be an advanced hack kuhack facebook maana hata software na tricks zilizo kwenye mtandao most if not all do not work
 
Social engineering method, kama sio mtaalamu sana wa IT inaweza kukusaidia ku hack account ki urahisi kama unaetaka kumu hack ni
 
Sehemu ya paasword , uta select " remember my name & password" nadhani kwa watu wazembe kama wewe itakuwa rahis ku hack kma unavyotaka kufanya.
 
mkuu ni rahisi sana ila naomba unieleze kinagaubaga una lengo gani ukikidhi vigezo nita fungukia hapahapa jamvini
 
nataka kumpiga chini m2 but nataka ushaidi wa fb kapata kibwana mshenzi kifala tu
 
appoh; Kutokuwa na imani na mtu ni ushahidi tosha wa moyo wako.Badala ya kuwa na wivu na ghadhabu ya kuhack facebook accoun, achana nae kistaarabu kwani utaheshimika.We mpigie VONOCO ya moyo wako kwani inatosha.
 
Last edited by a moderator:
Kuna option mbili,ni lazima ujue marafiki zake watatu,hiyo waweza tengeneza akaunti zimgine 2 tofauti including yako ambayo ni frends, ama option nyingine ni kubadili email yake ya kuingilia n u hv to wait for approx 24 hrs.
 
Hacker mkuu mwenyewe sasa hivi ni mwajiriwa wa facebook utahack nini? Ila angalia kama unatmia pc anaweza akakutrack na kuharib pc yako be careful mkuu
 
Mara ya mwsho presha ilpanda lin?
Au unamwonea aib,
tumia phshing tu utamkamata aisee
 
njia gani rahisi ya ku hack fb account msaada jamani
Ni RAHISI SANAAA
Mimi namhack demu wang kitamboo, kila akituma sms mimi naiona bila chenga pia akitumiwa sms mimi naiona , post zake zote ninauwezo wa kuzicontrol kama kufuta, kuhide(only me privacy) kuedit na kadhalika, pia naweza kuone comment na like zake zote, friends request , naweza kumblock mtu kwenye hiyo akaunti yake, nilichokifanya nilidownload app inayoitwa parallel space ili niweze kutumia akauti mbili kweny simu moja, kisha nikamuomba password akanipa nikalog in ,,, fanya hivyo utafanikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom