Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

naombeni mnisaidie nami ku unlock hii modem ya airtel Huawei E173 IMEI 862910017555704..

asanteni sana..

cc: Njunwa wamavoko Srebrina etc etc....
 
Last edited by a moderator:
naombeni mnisaidie nami ku unlock hii modem ya airtel Huawei E173 IMEI 862910017555704..

asanteni sana..

cc: Njunwa wamavoko Srebrina etc etc....

Mkuu hiyo haiwi unlocked ki urahisi inatumia custumized firmware so lock yake haitoki kwa unlock codes
And it took a decade for the discovery of unlocking it with some risks for unexperienced crackers

Kama upo interested ni PM maelezo yamo humu humu JF unaweza ku search
 
Dah!, aisee umetisha. ngoja na mimi nitakutumie izo namba unifanyie mautundu moderm yangu ya airtel ZTE zile mpya nyekundu zenye 3.7G tuweze tumia line zote, unisaidiage jombii.

Hiyo haitolewi LOCK kwa Unlock codes ...mimi nimejaribu mara kadhaa sababu ukiweka chip ambayo sio specified inakuomba codes lkn ukiweka inazikataa

Lkn kuna njia nyingine
 
Huawei E153u-2 IMEI 357289042262004 na process nzima ya ku unlock becouse cjui chochote please
 
Huawei E153u-2 IMEI 357289042262004 na process nzima ya ku unlock becouse cjui chochote please

hiyo kama sio mtundu itakutoa jasho ni hatare mwenyewe naiogopa sababu hiyo ina Flashani by aiwa tafuta huo uzi umo humu ndani by a great but not seen e2themiza
 
Last edited by a moderator:
Mpaka uwe na softwere ya ku unlock napia uwe na uwelewa juu ya unachotaka kukifanya download
Univsalmode kwa google
 
utaendelea kutumia ileile software ya airtel na connection name ileile ya airtel au ukipenda unaweza badilisha

njunwa wamavoko naomba unisaidie hii maana kilasiku inaniletea vitu tofauti ni mf190 ya zte airtel niliupdate ikawa zte mf190 ya movistar lakini ikawa haisomi modem yoyote nilivyoenda kwenye dc-unlocker ikaniletea hivi
attachment.php


lakini ikawa haitambui laini yoyote hapo nikaamua ku backup firmware cha ajabu ikabadilika na kuwa huawei mf190
attachment.php


hapa naomba msaada wako wa mawazo nifanyaje?
 

Attachments

  • my modem.JPG
    my modem.JPG
    47.7 KB · Views: 442
  • srebrina zte modem.JPG
    srebrina zte modem.JPG
    50.3 KB · Views: 428
Last edited by a moderator:

Attachments

  • alcatel modem provider.JPG
    alcatel modem provider.JPG
    42.5 KB · Views: 466
  • alcatel all modem provider.JPG
    alcatel all modem provider.JPG
    42.7 KB · Views: 453
Naomba msaada msaada ku unlock modem ya ZTE, IMEI yake ni 862648015410718 natanguliza shukrani kwenu wanajamvi.
 
Naomba msaada msaada ku unlock modem ya ZTE, IMEI yake ni 862648015410718 natanguliza shukrani kwenu wanajamvi.

Je, unataka kufungua ZTE yako kutoka lock carrier? Kama ni hivyo, matumizi ya kufungua code kwa kufungua yake /. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama WickedUnlock.com ya kufungua yake.
 
download hii kitu http://f11.wapka-files.com/download...5b8b7f011.zip/1b2def9c359d927a99ef/dccrap.zip kisha connect modem yako na line tofauti na airtel kisha modem yako ikisoma itakuambia weka unlock code wewe cancel then extract dccrap kisha open dccrap itafunguka kwenye select manufacture weka ZTE datacards kisha scan bonyeza hiyo alama kama ya kusearch kisha ikimaliza utaona modem yako imesoma kisha kwenye select manufacture kulia utaona Unlocking then unlock kisha check modem yako utaona inasoma line zote
 
Weka line tofauti na ya mtandao wa modem yoko. Kwa mfano modem yangu ni ya mtandao wa airtel, nikaweka line voda ikadai code nikaweka ndio ikakubali kukonect. Baada ya hapo natumia line ya voda au tigo au airtel bila shida.

Mi yakwangu hata nikiweka line,ya ttcl hata,haijilock wala nn ni huawei.. Kwann iwe hiv msaada jamani namimi nataka niwe naweza kutumia line zote wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom