Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
habari wenu wanaJF,
naombeni mnisaidie niweze kujua ni jinsi gani naweza kuconnect remotely computers zinazotumia windows7 ziweze kuwasiliana kwa kutumia internet...na pia mtu wa computer moja awe na uwezo wa kuona na ikiwezekana kuitumia desktop ya mwenzake..