Msaada: Jina zuri la shule

Midevu

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
274
437
Habari!
Naomba mnisaidie kupata jina zuri la shule.
Shule ni ya sekondari kuanzia O'level mpaka A'level,dini zote (non-denominational),jinsia zote (co-ed),kutwa na bweni na ipo Bagamoyo mkoa wa Pwani.
 
Habari!
Naomba mnisaidie kupata jina zuri la shule.
Shule ni ya sekondari kuanzia O'level mpaka A'level,dini zote (non-denominational),jinsia zote (co-ed),kutwa na bweni na ipo Bagamoyo mkoa wa Pwani.

casbias secondary schools
 
Napendekeza uite Trinity High school,ila njia sahihi ni wewe uangalie majina ya vitu,watu,sehemu au wazo unalolipenda.mfano jina lilitokana na jina la mwandishi wa kitabu ambacho mama yangu alikipenda sana.
 
Ipe jina la mzazi wako kati ya baba au mama au ikiwezekana unganisha jina la baba na mama, mfano baba anaitwa ALEX na mama anaitwa MARIA, utaiita ivi ALEMAR SEC SCHOOL, hii kuenzi juhudi za waliokuleta duniani na kukulea vizuri mpaka ukafika atua hiyo
 
Naunga mkono wazo hili. Ningeshauri mwanzisha-mada atuwekee hapa majina ya wazazi (jina la kwanza tu) ili tuweze kupata "fomesheni" nzuri. Midevu upo?
 
Last edited by a moderator:
Jina la shule linaweza kukumiza kichwa sana. Ushauri wa KILLANELI ni mzuri. Tafakari! Lakini zingatia kuwa soko la shule limebadilika shule za wasichana tu au wavulana tu tena za bweni kwa sasa zina soko kubwa kuliko coeducational other factors being the same!
 
Chagua na changanya herufi za majina ya mama, baba, wewe, mke na watoto. Je shule ni ya familia? Ili niweze kukushauri zaidi.
 
Ahsanteni wote ,
mmenirahisishia sana hii kazi,
Mungu awabariki!
 
Back
Top Bottom