msaada::jealous na nchi yangu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naombeni msaada,nafikiri nina tatizo kubwa la kuwa na jealous na nchi yangu,
najisikia vibaya ninavyosikia wageni wanakuja hapa na kufanya mambo ya ajabu,
kuna thread ipo hapa sasa hivi inasema wakenya wameshateka loliondo kwa babu,
wanaitangaza ni sehemu ya kenya,
yaani najisikia kama hilo jambo limeniathiri moja kwa moja,
jamani naombeni msaada nifanye nini?je hilo ni tatizo kwangu tu au wote?
lakini ningependa nisiwe hivyo nifanyeje?
 
hilo tatizo tunalo watanzania wengi,lakini tatizo tumelogwa na aliyetuloga hatumjui, huoni hata m k w e r e hayupo sawa, kwisha habari yetu tukizidi kulala
 
hilo tatizo tunalo watanzania wengi,lakini tatizo tumelogwa na aliyetuloga hatumjui, huoni hata m k w e r e hayupo sawa, kwisha habari yetu tukizidi kulala


mimi nataka niachane na hilo tatizo nifanyeje??sioni faida yake zaidi ya kujiumiza
 
Pole,sana sana hauna cha kufanya na kinachouma zaidi ni unapoona watu ambao wanatakiwa kuwa responsible kwa hayo mambo they don't give a damn,on the other hand it means you are conscious enough about what is going on around you especially to your country,personally hamna kitu kinachoniuma kama ninavyoona wageni wanavyoofaidika na madini yetu wakati kila siku akina mama wanajifungulia chini mahospitali
 
Back
Top Bottom