Msaada jamani

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Nashindwa kujizuia wajameni! Nimejikuta nampenda mke wa mtu, naye ana vituko mno kwangu niko naye jirani kidogo sijui nifanyeje! Nina tabia ya kupata moja mbili maeneo ya jirani kwangu, huwa akipita mara anijaalie mbili nami huwa namjibu! Nisaidieni nifanyeje! Wakati cha mtu kimba!
 
Siku ikajatokea ushaoa na akitokea mkeo nae macho mia kwa jirani akaanza nae kutoa miofa napo utaleta sredi ?
 
Nyokooo!!! ashakum si matusi mkuu@KARIA ukiskia bomu ndo hilo,kimbia hadi uzimie!
 
sidhani kama umempenda, nahisi umemtamani...asingekuentertain sidhani kama leo hii miudenda ingekutiririka juu ya mali ya mwanaume mwenzako
 
ananitamanisha sasa jamani nifanyeje? mimi nitamtafunia mbali kama mbai mbai!
 
Hivi kweli hawa wanawake waliojaa humu duniani, wengine wanajiuza, wengine hawajaolewa, wengine wanatafuta wa kuwaoa, wengine hata wanatafuta wa kuspend nao tu, wewe umeona mwanamke ambaye mwanaume mwenzio keshamuweka ndani? Hii ni tabia ya kishenzi sana, tena ya kishenzi haswaaaaa!

Nnachoona una hamu ya kuliwa goTi, hakyanani tena.

Kaoe wa kwako ndio utajua uchungu wa mke. Sh*nz taipu!!!
 
mke ukiwa naye ndio wako akitoka nje sio wako! hivi hamjui jinsi wake zetu wanavyofanya wakati tukiwa kibaruani? ni kama vile mnavyochepuka na vichenchede nao pia wanachepuka na mabarobaro!
 
Back
Top Bottom