Latifah Abdully
Member
- May 20, 2016
- 33
- 8
Nimejaribu kuangalia hizi grade za TCU na grade za chuo alichosoma mdg wng Ni kuwa zipo tofauti sana. Kwa mfano B ya TCU imeishia 50 wkt ukipata 50 ktk chuo alichosoma yy ni sawa na C afu uyu dogo hajafikisha GPA ya 3. 5 Kulingana na grade za chuoni kwao. So mtu kama huyu TCU wanamsaidiaje?