Msaada jamani, nimenyimwa mshahara

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
MIMI NI MUAJIRIWA WA SERIKALI, NILIPATA DHARURA NIKAONDOKA KITUO CHA KAZI KWENDA DAR BILA RUHUSA YA MWAJIRI SIKU YA JUMAMOSI ASUBUHI, NIKARUDI JUMATATU, JUMANNE NIKAINGIA KAZINI... NIKAKUTA WAHAKIKI WA MISHAHARA HEWA WAMESHAPITA TAREHE 18, APRIL. NA WAMENIANDIKA KAMA MTORO... HAPA KAZINI WAMENIPA BARUA INAYOHITAJI NIJIELEZE. NIKAJIELEZA KISHA WAKANIJIBU NISIRUDIE TENA (ONYO). SASA MSHAHARA WAMENINYIMA NA HUKO HAZINA NA UTUMISHI (dar) WAMENITOA KWENYE PAYLO... NIFANYEJE JAMANI????????????? MSAADA
 
Kama wameshakupa onyo ndiyo adhabu umeshapewa, sasa wanahitaji maelezo gani tena.

Anyway, if you got on absent on consecutive 5 days it means you absconded yourself.

Kinachoonekana ni kwamba wewe mwenyewe umejikanganya sana kwenye hii thread.
Haiwezekani upewe onyo then unaambiwa utoe maelezo.

Ninavyojua ni kwamba unatakiwa utoe maelezo ya kosa lako, the management ikiridhika wana determine adhabu unayotakiwa kupewa.
 
nilipewa barua ya kujieleza, nikajieleza kisha wakanipa onyo. sikua kazini siku 3. yaan jmosi, j2 na j3. ambazo ndio siku ya zoezi la uhakiki
 
Serikali gani unafanya kazi mpaka Jumamosi na Jumapili. Ni serikali hii ya Tanzania au? Ndio nakusikia wewe. Yaani kutokuwepo Jumatatu ndio kosa sana. Nahisi wewe huna mahusiano mazuri na wakubwa zako ndio maana waamekufanyia hivyo. Hata fununu ya kuwepo uhakiki wa wafanyakazi hukujua wala kuambiwa na wenzako.Jiangalie mahusiano yako na wenzako hapo kazini
 
acha kudanganya watu wazima, hao wahakiki wapite 18/4 , leo 19/4 ushafutwa payrol? danganya hao hao.
 
nilipewa barua ya kujieleza, nikajieleza kisha wakanipa onyo. sikua kazini siku 3. yaan jmosi, j2 na j3. ambazo ndio siku ya zoezi la uhakiki
pia ww ni mzembe, kama walikuja siku hizo ww hukuwa na taarifa? idara zote kabla hawajapita lazma watoe taarifa ili pia kumbukumbu za wafanyakazi wasiokuwepo kwa sabab mbalmbal ziwekwe vizuri....sasa wwumeondoka na unajua wanakuja?
 
wewe ulijitakia mwenyewe, kwanini ulitoroka wakati unafahamu utoro ni kosa kubwa ungeweza hata kufukuzwa kazi.
 
Tafuta bakuli uanze kuomba mitaani tutakusaidia tu kwa ujinga wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom