Marga Senior Member Jun 8, 2012 113 34 Jun 9, 2012 #1 habarini wadau,, nina shida ya apartment ya kupanga dodoma ila isiwe nje ya mji sana mwenye kunisaidia tafadhali
habarini wadau,, nina shida ya apartment ya kupanga dodoma ila isiwe nje ya mji sana mwenye kunisaidia tafadhali
A Akiri JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,445 212 Jun 16, 2012 #3 niambie badget yako , vp ukipata nyumba nzima pale mjini 0657 14 5555
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,671 Jun 16, 2012 #4 Wewe ni mbunge wa chama gani?