Msaada jamani: Mpenzi wangu anaolewa

Pole sana uncle, nadhani kama huyo Mdada angekuwa kupenda kama unavyompenda angewaambia wazazi kuwa tayari amepata mtu anayempenda kwa dhati, sasa kama hajawaambia na wewe wazazi hawajawahi kukuona, tumia akili yako kufahamu kinachoendelea na kule unakoelekeza maisha yako. Sasa mshauri awaeleze wazazi wake kuhusu uhusiano wenu halafu utaona reaction, baada ya hapo utachukua hatua inayofaa.
 
Sasa ni march naye aliachana Na mchumba wake novemba, haya mahusiano yenu mpaka yakumwona wife material yamechukua muda gani? Umjua tabia zake? Na je yeye anakupenda kweli au ulikuwa unapunguza frustration zake za kuachwa? Hivi Na wewe huta m cheat? Maana all men are brothers.
 
u r right ila kila m2 ana vigezo vyake nae kakizi kila kigezo ni mda mfupi kuju tabia ila unaweza tumia miaka 2 bado usijue na siwezi kumcheat she hv everything i need
 
Kwa kweli rebound relationships zina vital consequences...its too risky kuanzisha uhusiano na mtu ambaye ni a fresh broken heart coz mara nyingi huwa mioyo yao haikai kwako inavyotakiwa(Its already broken remember?). So hiyo ndo risk uliyochukua na nakushauri utulie tu u watch the show expecting two results(on / off). Both results are beneficial to you...If she comes back gud for you and if she doesnt hey? she was never yours(na out there kuna chako bora zaidi)
 
thanx kwa ushauri
 
Back
Top Bottom