Msaada jamani kwa anaye ijua shule ya same boys high school....

Megadoni

Member
Feb 16, 2013
17
3
Nimechaguliwa shule ya same boys high school comb ya PCM......Naomba anayeifahamu mazingira yake anijuze tafadhali
 
mazingira yanakusaidia nini? Nenda kasome tena ukomae usije ukatia aibu ma hiyo PCM yako

Ni vyema kuyafahamu mazingira mapema....mimi sijawahi kufika huko kilimanjaro hata mara moja.
Napenda kuijua mapema ili kama ni kuhama nianze kujipanga mapema
 
ongera kwa kuchagulia, same sec iko upande wa pili na stend ya mabasi same nikama km 1 hivi kutoka barabara kubwa mazingira ya pale ni ukame uwe tayari kuoga mwisho wa wk kwasababu maji ni ya shida
 
Dogo haina haja ya kufikiria kuhama!

Same boys ni shule nzur sana! Walimu wapo weng, maktaba zimesheheni vitabu na maabara ziko vizuri tu.

infrastructure nzur, mabwen safi! Mazingira poa ya kijani kibichi. Mabwen mazur kama lumumba,nkurumah,aggrey etc na shule iko fenced ulinzi mzuri.

jiran kuna mitaa mizuri ya kula bata kama masandare hivi! Pia kuna place ya picnic inaitwa kishaa! Ila huko picnic wanaenda o-level zaid. Ila sehem inaitwa steshen utakuwa unaenda every wkend! Na hata katkat ya wik pia itadepend uko vp!

Thats Same boys! Hahaha
 
Thanks brother!!
Na vipi kuhusu historia yake ya kitaaluma?
 
Historia ya taaluma ni nzuri, ila inategemea na background yako! Kama umetoka shule za spoon feeding au umetoka shule za kukomaa kwa sana ku search material.

nadhan hapo fast jet anaweza kufafanua zaid manake naona kama vile kapita au anapafaham vzur hapo same sec.
 
Kaka nimetoka shule za msoto.....
 
ongera kwa kuchagulia, same sec iko upande wa pili na stend ya mabasi same nikama km 1 hivi kutoka barabara kubwa mazingira ya pale ni ukame uwe tayari kuoga mwisho wa wk kwasababu maji ni ya shida

Vipi kuhusu teaching facilities na walimu?
 
Kuhusu walimu wapo, vitabu vipo, mabweni na chakula vipo...
Ila, nakushauri uanze mazoezi ya kuoga mara moja kwa wiki.
 
Nimechaguliwa shule ya same boys high school comb ya PCM......Naomba anayeifahamu mazingira yake anijuze tafadhali

huko ndo kwetu mimi, same boys ni nzuri nenda kapige shule dogo wng changamoto hazitakosekana sehemu yyte hongera kwa kuchaguliwa
 
Dogo haina haja ya kufikiria kuhama!

Same boys ni shule nzur sana! Walimu wapo weng, maktaba zimesheheni vitabu na maabara ziko vizuri tu.

infrastructure nzur, mabwen safi! Mazingira poa ya kijani kibichi. Mabwen mazur kama lumumba,nkurumah,aggrey etc na shule iko fenced ulinzi mzuri.

jiran kuna mitaa mizuri ya kula bata kama masandare hivi! Pia kuna place ya picnic inaitwa kishaa! Ila huko picnic wanaenda o-level zaid. Ila sehem inaitwa steshen utakuwa unaenda every wkend! Na hata katkat ya wik pia itadepend uko vp!

Thats Same boys! Hahaha

safi sana
 
Back
Top Bottom