nimesha upgrade natumia 4.0.3,na kuhusu YouTube ipo upgrade.
natanguliza shukrani mkuu
zote zinafanya kazi(opera,Dolphin hd,ucbrowse)
natanguliza shukrani mkuu kwa kuitikia kilio changu,
haitoi error yoyote bali ina search muda mrefu mpaka naamua kutoka kwenye hiyo app(YouTube)
mnajua streamning kwa simu zinatumia protocal hii rtsp:// na hizo opera, ucweb, dolphin ni http://
Kama tigo wameblock hio rtsp watakua wameblock kwa 3g tu am sure, kaka jaribu change network iwe edge then jaribu kustream tuone
dat works but speed kaka utaipenda, hivi kuna m2 ana2mia tigo na akaridhika kwa spidi na gharama zao kweli
mnajua streamning kwa simu zinatumia protocal hii rtsp:// na hizo opera, ucweb, dolphin ni http://
Kama tigo wameblock hio rtsp watakua wameblock kwa 3g tu am sure, kaka jaribu change network iwe edge then jaribu kustream tuone
mimi hapa kwenye alama ya network inabadilika badilika mara 3g mara H
Hapo ina maana dual mode kama skosei 3g kama umts na h for hdspa au hspa
mi kwenye simu yangu naona gsm na umts, na nikiselect hii umts ambayo ni 3g, network inakata...tatizo laweza kuwa nini? Na faida za kutumia 3g ni zipi?