msaada jamani ANDROID PHONE inanisumbua sana

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,347
4,605
Natanguliza shukrani kwenu wana JF.
Natumia HTC sensation Z710e, YouTube haifanyikazi....siwezi kuona chochote kwenye
YouTube.....nimesha reset simu mpaka nimechoka tatizo bado lipo palepale.please wakuu msaada wenu unaitajika.
 
Mtandao wako utakuwa kimeo, jaribu kwenda sehemu yenye wifi ya uhakika kisha connect na jaribu.
 
pengine ni muda wa ku upgrade OS yake. Kama ina Android 3.2 Ginger bread.
Ipandishe hadi 4.01 ice cream sandwich.
Pia nenda kwenye Play Store uangalie kama hiyo YouTube app inahitaji updating pia.
 
natanguliza shukrani mkuu kwa kuitikia kilio changu,
haitoi error yoyote bali ina search muda mrefu mpaka naamua kutoka kwenye hiyo app(YouTube)
 
nimesha upgrade natumia 4.0.3,na kuhusu YouTube ipo upgrade.
natanguliza shukrani mkuu
 
mnajua streamning kwa simu zinatumia protocal hii rtsp:// na hizo opera, ucweb, dolphin ni http://

Kama tigo wameblock hio rtsp watakua wameblock kwa 3g tu am sure, kaka jaribu change network iwe edge then jaribu kustream tuone
 
dat works but speed kaka utaipenda, hivi kuna m2 ana2mia tigo na akaridhika kwa spidi na gharama zao kweli
 
dat works but speed kaka utaipenda, hivi kuna m2 ana2mia tigo na akaridhika kwa spidi na gharama zao kweli

Bundles zote zenye nature ya light tigo kama mb20 megabox, xtreme, wiki 7500 na mwezi 28,000 utajuta ila ukieka stadard na max atleast

Ila mimi voda edge ipo max napata ile 284kbps so ina stream kwa simu japo kwa pc haiwezi
 
Uko maeneo gan bro ... na sim yako 3g inakamataa .. maana tatizo linaweza kuwa speed ya net yako .. mayb inachukua mda mrefu kustream video ... alafu pia jarib download video apps zingine uangalie kama ukistream video zinakubali ..
 
mnajua streamning kwa simu zinatumia protocal hii rtsp:// na hizo opera, ucweb, dolphin ni http://

Kama tigo wameblock hio rtsp watakua wameblock kwa 3g tu am sure, kaka jaribu change network iwe edge then jaribu kustream tuone

mimi hapa kwenye alama ya network inabadilika badilika mara 3g mara H
 
mi kwenye simu yangu naona gsm na umts, na nikiselect hii umts ambayo ni 3g, network inakata...tatizo laweza kuwa nini? Na faida za kutumia 3g ni zipi?

3g ni network ya fasta kuliko normal gsm (gprs na edge)

Ukiona unaselect umts(3g) then haikubali jua eneo ulipo huo mtandao unaotumia hawana huduma za 3g
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom