Msaada: iPhone 2G

STimira

Senior Member
Feb 14, 2012
133
23
nashukuru sana kwa waandaaji wa page hii, kwani tunapata nafasi ya kufahamu mambo mengi sana! niliomba msaada wa kupatiwa lisence key ya PC Performer lakini sijapata msaada jamani. pia nina iphone 2g ambayo ilikuwa updated to 3g, sasa kwa bahati mbaya nika-erase iphone na sasa haionyeshi kitu chochote. nafanyaje ili software irudi?? nisaidieni wakuu na asanteni in advance!!!!
 
@STimira
eleza pc perfomance version gani,pili iphone 2g haiwezi kuwa updated to 3g (never ever).ila uliupdated os to 3.1.3,sasa cha kufanya download iitune,os 3.1.3 customised firmware, then ingia kwenye cydia (kwenye simu - iphone) upgrade hackers command,then go to www.repo666.ultrasn0w.com install software in then restart mara 2

enjoy
 
thank you so much mswati for your concern. hiyo pc perfomance version yake siijui maana nilidownload tu kwenye net ikanitaka niweke hiyo licence key. kwa hiyo iphone nashukuru kwa kunicorrect na ngoja nijaribu kufanya ulivinielekeza bro!!!
 
nimedownload hiyo firmware 3.1.3, ila sasa cydia kwenye iphone siwezi iona kwa vile simu haionyeshi chochote yaani ukiiweka kwenye chaji inaonyesha tu charter la apple basi!!!! kama unaweza kunisaidia zaidi mdauu!!!
 
Back
Top Bottom