Msaada Huawei y300

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Device yangu haina mambo mengi kiivyo ila nashangaa card imejaa n internal memory inajaa. Nmejaribu kubaini wapi data zinakimbilia kijihifadhi nmeshindwa. Msaada wakuu
 
Setting.....more......data usage.....scroll up mstari wa horizontal ufike walau 3GB........pia mmeweka antivirus active kwenye device zenu?
 
Jaribu hayo maelekezo uone kama kutakuwa na mabadiliko......ikishindikana itabidi tusubiri wataalamu
 
Mi natumia y-300 na nimekumbana na matatizo hayo hayo na pia sometime mic na speaker zake zinazingua,nilirudisha hii cmu tigoshop quality center last week km umeinunua tigo lkn,kuna jamaa wa huawei anazirekebisha,kuna software inasumbua.watu ni wengi,so ukipata mda nenda pale.
 
Poa Mkuu nitakwenda
 
Back
Top Bottom