MSAADA:-Hivi vyuo vingne vipi??

Wakubet

Member
Oct 1, 2015
15
12
Habari zenu wakuu.Mimi niliaply vyuo 4. 1-Ardhi 2-MUCCOBS 3-UDSM 4-Mzumbe.Sasa najaribu kutafuta majna ya hivi vyuo vingine siyapati maana udsm sjachaguliwa. Naomba kwa aliye na taarifa zaid kuhusu hivi vyuo 3 vilivyobaki anisaidie maana niko dilema.Ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom