Murtapha68
Member
- Feb 20, 2022
- 29
- 15
Hivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali.
Hakuna . ila wewe simu yako ni Ndogo kiuwezo. So kuna Maneno yakitoka simu ambayo ni kubwa kiuwezo mwisho wa Siku wewe unaona vibox tuu. Tafuta hela upate simu angarau kuazia 320000. Huto ona tena vibox. But PoleHivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali.
Namaanisha kwa mfano picha imepigwa imeandikwa maneno flan lakn ayo maneno yamekuwa bolded na rang je kuna uwezekano wa kuona kilicho andikwaImeandika as if kila mtu anajua unachokifanya
Maelezo hayajitoshelezi
Namaanisha kwa mfano picha imepigwa imeandikwa maneno flan lakn ayo maneno yamekuwa bolded na rang je kuna uwezekano wa kuona kilicho andikwaHakuna . ila wewe simu yako ni Ndogo kiuwezo. So kuna Maneno yakitoka simu ambayo ni kubwa kiuwezo mwisho wa Siku wewe unaona vibox tuu. Tafuta hela upate simu angarau kuazia 320000. Huto ona tena vibox. But Pole
Hapo Ishu ni Sumu ndogoHivi kuna application au namna yeyote ya kuona maneno ambayo yamekuwa bolded na rang flan yasionekane kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali.